Recent Posts

Lewandowisk njiani kuelekea real madrid

Robert Lewandowiski's agent amethibitisha kuwa yupo kwenye mazungumzo na real madrid kuhusu uhamisho wake kutoka Bayern Munich.

Mshambuliaji huyo wa Polland aliyefunga magoli 30 kwenye bundesliga, amebakiza miaka 3 kwenye mkataba wake na Bayern Munich.

Lewandowiski na Bayern wameripotiwa kutofikia makubaliano ya kuongeza mkatabana agent Cezary Kucharski amesema wapo kwenye mazungumzo na Real Madrid.

"Real Madrid wamewasiliana nasi wiki zilizopita na tumewasikiliza kila kitu walichosema. Ni klabu kubwa na bora" Kucharski ameliambia gazeti la Ujermani Spiegel. " Tumewataarifu Fc Bayern kuwa tumezungumza na real madrid".

No comments