Recent Posts

Habari mbaya kwa Arsenal

Aaron Ramsey inawezekana ikamchukua muda wa mwezi mmoja kukaa nje ya uwanja baada ya kupata majeraha ya paja.

Kiungo huyo alitolewa nje kipindi cha pili siku jummanne usiku waliposhinda 2-0 dhidi Bayern Munich baada ya kupata majeraha hayo.

Baada ya tukio hilo , Arsene Wenger alikataa kusema mda kamili ambao mchezaji huyo anaweza akawa fiti  ambapo Arsenal wana mechi ngumu dhidi ya Everton siku ya Jumamosi.


Ramsey atakosa mechi ikiwamo derby dhidi ya Totenham na mechi ya marudiano na Bayer Munich klabu bingwa ulaya.

Kuumia kwa Ramsey kunampa nafasi kubwa ya kucheza Alex Oxlade Chamberlain dhidi ya Everton

No comments