Recent Posts

Breaking news; Timu hii kuchezea Wembley kama uwanja wake wa nyumbani msimu ujao 2016/2017

  


Tottenham wamekubaliana na dili la kuchezea uwanja wa Wembley msimu ujao kama uwanja wao wa nyumbani.

Tottenham wamekubaliana na sasa watakua wanacheza mechi zao za klabu bingwa ulaya(UEFA) wembley kama uwanja wao nyumbani.

Makubaliano hayo pia yamelenga spurs kucheza mechi za ligi kuu pamoja na FA cup wembley.

Tottenham kwa sasa wanatengeneza uwanja wao wa White hart lane ili kuwekeza kupokea watazamaji 61000.


 

"We're delighted that, through working in partnership with WNSL and the Football Association, we've been able to reach this agreement," Tottenham chairman Daniel Levy told the club's official website

"Kuchezea Wembley itakuwa inamaanisha sasa tutaweza kuendelea kufanya kazi vizuri na ticket holders "

"List ya tiketi za msimu ujao ni 50000 kwa hiyo hii inatupa nafasi ya kupata supporters wengi kutazama timu ikiwa inacheza wakati wa klabu bingwa "

Source: skysport.com

No comments