Recent Posts

VPL>>RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA LEO JUMAPILI HIZI HAPA

VPL-TanzaniaJumapili ya leo Stand United ‘chama la wana’ wanawakaribisha ‘wagonga nyundo’ wa jiji la Mbeya (Mbeya City)
katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga, huku Kagera Sugar wakiwa wenyeji wa Tanzania Prisons uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora na Toto Africa watakua wenyeji wa JKT Ruvu jijini Mwanza uwanja wa CCM Kirumba

No comments