Recent Posts

UMESHAPATA HII YA RONALDO SASA YUPO KWENYE MAHUSIANO NA MSICHANA WA MIAKA 19 HABARI NA PICHA ZIPO HAPA




 

Wikiendi nyingine, na mwanamke mwingine mwenye mvuto  anahusishwa kuwa na uhusiano na star wa real madrid Cristian Ronaldo.

Gazeti la Ureno liitwalo Corrie Da Mahna leo limeandika  kuwa Ronaldo ameanza uhusiano na msichana wa miaka 19 Maja Darving ambae anafanya kazi ya mitindo.

 Picha kutoka kwenye gazeti hizi hapo chini

 

 

















No comments