Recent Posts

UMESHASIKIA ALICHOKISEMA MESSI BAADA YA KUONA TRAILER YA MOVIE YA RONALDO CHEKI HII VIDEO

messi
Najua utakua umeshaona movie ya Cristiano Ronaldo ambayo itatoka mwezi wa 11. Basi wajanja
wa editing wamefanya yao kunganisha clip ya Messi ambapo alikua kama anatoa reaction yake huku akiangalia trailer ya movie hiyo.
Maneno ya Messi yametafsiriwa kwa English ili tuelewe zaidi. Cheki hii video ucheke kidogo lakini kumbuka ni fake.


No comments