Recent Posts

UMEIPATA HII YA NYOTA WA SOKA ENGLAND KUWEKA BIFU NA MUIGIZAJI WA FILAMU YA "GAME OF THRONE" KISA KAKATAA KUPIGA NAE PICHA


Mshambuliaji wa West Brom Victor Anchebe ameongea jana usiku juu ya hasira aliyonayo kwa muigizaji
maarufu wa filamu ya game of thrones.
Mshambuliaji wa miaka 27 wa West Brom ambae ni shabiki wa muigizaji Kit Harrington ambae ni maarufu kwa jina la Jonh Snow kwenye filamu hii ya game of throne na Rose Leslie ambae amecheza Ygritte kwenye The hotel lobby
Baada ya kuomba kupiga picha na waigizaji hao wawili, mshambuliaji huyo wa zamani wa everton waigizaji hao wote wawili walikataa na kuondoka na kumuacha mnigeria huyo akiwa amekasirika.
Baada ya kitendo hicho mshambuliaji huyo amebaki na hasira na mwenye kutaka kulipiza kisasi.
Wakati huo mshambuliaji huyo anatakiwa kujiandaa na mechi ijayo ya West brom dhidi ya Crysyal palace jumamosi. West brom wanashika nafasi ya 15 baada ya kukubali kipigo cha magoli 3-2 dhidi ya everton jumatatu usiku

No comments