Recent Posts

TANZANIA SASA YAPANDA KWENYE VIWANGO VYA FIFA BAADA YA KUSHUKA MDA MREFU

Tanzania kwa miezi ya hivi karibuni ilitangazwa kushuka katika viwango vyaFIFA kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu katika mechi kadhaa, ikiwemo katika mechi
za kuwania kufuzu kucheza michuano ya CHANTanzania ilitangazwa kushuka hadi nafasi ya 140.
Baada ya kutangazwa kushuka kwa nafasi kadhaa, viwango vipya vilivyotangazwa October 1, Tanzaniaimepanda kwa nafasi nne, kabla ya kutangazwa kupanda kwa nafasi nneTanzania ilikuwa nafasi ya 140 katika viwango vya FIFA duniani, hivyoTanzania kwa sasa ipo nafasi ya 136 kidunia, majirani zetu Kenya wapo nafasi ya 131 na Uganda 75.
Kwa Afrika timu ya Algeria ndio inaongoza katika viwango hivyo, Algeriabarani Afrika ya kwanza ikiwa mbele yaIvory Coast, lakini kidunia inashika nafasi ya 19 nyuma ya Slovakia na Italia.Tanzania ilikuwa na wakati mgumu katika viwango vya FIFA hadi ilifikia wakati wakamfuta kazi Mart Noij na nafasi yake kupewa Charles Boniface Mkwasa.
Hivi ni viwango vya FIFA kwa nchi kumi zinazoongoza kidunia.

No comments