Recent Posts

HII HAPA LIST YA WACHEZAJI 59 WANAOGOMBANIA BALLON D'OR, BAADHI YA MAJINA YASHANGAZA WATU


Wakati majina yaliyozoeleka kama Ronaldo, Messi, Neymar na wengineo wengi wapo kwenye orodha hiyo
ila kuna majina ambayo yameingia kwenye list hiyo ambayo yanashangaza wengi.
Baadhi ya majina hayo ni pamoja na kiungo wa Australia Massimo Luongo nae ameingia kwenye list hiyo kwa kuchezea Swindon Town msimu uliopita.
Na mchezaji aliyetolewa kwa mkopo Christian Atsu nae ameingia kwenye list hiyo
Swali kwa nini wamefanya 59? Wangeweza kuchukua list kubwa zaidi kama wangetaka.
List ya wachezaji hii hapa;
Javier Mascherano - Barcelona
Andrés Iniesta - Barcelona
Lionel Messi - Barcelona
Ivan Rakitic - Barcelona
Neymar - Barcelona
Luis Suárez - Barcelona
Gareth Bale - Real Madrid
Karim Benzema - Real Madrid
Sergio Ramos - Real Madrid
Cristiano Ronaldo - Real Madrid
Luka Modric - Real Madrid
James Rodríguez - Real Madrid
Toni Kroos - Real Madrid
Giorgio Chiellini - Juventus
Paul Pogba - Juventus
Alvaro Morata - Juventus
Arturo Vidal - Juventus/Bayern
Andrea Pirlo - Juventus/New York City FC
Carlos Tevez - Juventus/Boca Juniors
Robert Lewandowski - Bayern
Arjen Robben - Bayern
David Alaba - Bayern
Thomas Müller - Bayern
Manuel Neuer - Bayern
Wilfried Bony - Manchester City
Yaya Touré - Manchester City
Sergio Agüero - Manchester City
Nicolás Otamendi - Valencia/Manchester City
Kevin de Bruyne - Wolfsburg/Manchester City
Diego Costa - Chelsea
Willian - Chelsea
Thibaut Courtois - Chelsea
Eden Hazard - Chelsea
Edinson Cavani - PSG
Zlatan Ibrahimovic - PSG
Javier Pastore - PSG
Wayne Rooney - Manchester United
David de Gea - Manchester United
Memphis Depay - PSV/Manchester United
David Ospina - Arsenal
Alexis Sánchez - Arsenal
Antoine Griezmann - Atlético Madrid
Jackson Martínez - Porto/Atlético Madrid
Carlos Bacca - Sevilla/Milan
Giovani dos Santos - Villarreal/LA Galaxy
Philippe Coutinho - Liverpool
Son Heung-min - Bayer Leverkusen/Tottenham
Christian Atsu - Everton/Bournemouth
Paolo Guerrero - Flamengo/Corinthians
Eduardo Vargas - QPR/Hoffenheim
Gary Medel - Internazionale
Harry Kane - Tottenham
Alexandre Lacazette - Lyon
Andrés Guardado - PSV
Carlos Sánchez - River Plate
André Ayew - Marseille/Swansea
Massimo Luongo - Swindon/QPR
Shinji Okazaki - Mainz05

No comments