Recent Posts

NEYMAR ATIMIZA MOJA YA NDOTO YAKE

Wonder boy Neymar amecheza soka tangu akiwa mtoto hadi
leo akiwa na malengo ya kutimiza ndoto zake. Moja ya ndoto hizo ni kumiliki gari la kifahari aina ya Ferrari 485 Spider.
Hatimaye ametimiza kwa kulinunua gari hilo la kifahari na furaha imemzidi hadi ameamua kuli-post kwenye instagram. Neymar anajulikana kwa kupenda maisha ya kifahari na pesa pia inamruhusu. Gari hilo lina thamani ya £200,000. Alivyo-post aliandika, “Thank you God for giving me health, and with the fruit of my labour I fulfill another childhood dream!”

No comments