Recent Posts

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza na Hispania October 17 na 18


Baada ya mapumziko ya Ligi mbalimbali duniani ili kupisha mechi za kalenda ya FIFA kumalizika, weekend hii Ligi Kuu mbalimbali zinaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, huenda ukawa unataka kufahamu mechi za weekend hii zitakazochezwa za Ligi kuu Uingereza na Ligi Kuu Hispania hii ndio ratiba ya mechi za weekend hii

Mechi za Ligi Kuu Uingereza weekend ya October 17 na 18

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingerezakwa saa za Afrika Mashariki

Tottenham Vs Liverpool saa 14:45Chelsea Vs Aston Villa saa 17:00Crystal Palace Vs West Ham saa 17:00Everton Vs Man United saa 17:00Man City Vs Bournemouth saa 17:00Southampton Vs Leicester City saa 17:00West Brom Vs Sunderland saa 17:00Watford Vs Arsenal saa 19:30

Jumapili ya October 18

Newcastle Vs Norwich saa 18:00

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Hispania

Ratiba za mechi za Hispania kwa saa zaAfrika Mashariki

Real Madrid Vs Levante saa 17:00Eibar Vs Sevilla saa 19:15Barcelona Vs Rayo Vallecano saa 21:30Valencia Vs Málaga saa 23:00Real Betis Vs Espanyol saa 23:05

Mechi za Jumapili ya October 18

Villarreal Vs Celta de Vigo saa 13:00Real Sociedad Vs Atl Madrid saa 17:00Getafe Vs Las Palmas saa 19:15Deportivo de La Coruña Vs Ath Bilbao saa 21:30

No comments