Recent Posts

Mourinho aahidi kuchezesha makinda Chelsea

Jose Mourinho
Jose Mourinho ameahidi kumchezesha Ruben Loftus-Cheek katika kikosi cha kwanza akijaribu kubadili kikosi
kilichoanza vibaya msimu huu.
Kiungo huyo, 19, amefanya vizuri katika mechi kubwa alizocheza mpaka sasa na sasa Mourinho anamtaka achukue nafasi hiyo kikosini.
Ruben Loftus-Cheek anatarajiwa kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Jose Mourinho
Kama Loftus-Cheek atafanikiwa, atakuwa zao la kwanza la akademi Stamford Bridge kucheza kikosi cha kwanza tangu John Terry afanye hivyo mwongo mmoja uliopita

No comments