Manahodha 9 bora tangu mwaka 1990 katika ulimwengu wa soka
Hapa tumekuletea orodha yetu ya manahodha bora wa klabu za soka... toa wako pia?
9. Steven Gerrard-Liverpool
Aliyekuwa nahodha wa England ni mmoja wa manahodha waliofanya vizuri katika historia ya soka.
Alidumu muda mrefu na aliweza kufanikiwa katika awamu yake ya unahodha katika Anfield, licha ya kutoweza kushinda taji la Ligi Kuu ya England.
Mataji Gerrard aliyoshinda katika Liverpool
FA Cup: 2001,2006
Football League Cup: 2001,2003,2012
FA Community Shield: 2006
UEFA Champions League: 2005
UEFA Cup: 2001
UEFA Super Cup: 2001,2005
8. John Terry – Chelsea
Nahodha wa chelas Terry alikuwa pia nahodha wa England tangu David Beckham astaafu. Ujuzi wake wa kuongoza unaonekana wazi uwanjani.
Mataji Terry aliyoshinda katika Chelsea
FA Premier League (4): 2004–05, 2005–06, 2009–10, 2014–15
FA Cup (5): 1999–00, 2006–07, 2008–09, 2009–10, 2011–12
Football League Cup (3): 2004–05, 2006–07, 2014–15
FA Community Shield (2): 2005, 2009
UEFA Champions League (1): 2011–12
UEFA Europa League (1): 2012–13
7.Iker Casillas-Real Madrid
Mhispania wa kimataifa Casillas atakumbukwa daima kwa mchango wake aliotoa kwa kwa Madrid ingawa Fiorentina Perez alimfadhili kumweka nje ya klabu msimu huu. Kama nahodha aliinua kombe la 10 la Ligi ya Mabingwa linalojulikana kwa jina la “La Decima”.
Mataji Casillas aliyoshinda katika Real Madrid
La Liga: 2000–01, 2002–03, 2006–07, 2007–08, 2011–12
Copa del Rey: 2010–11, 2013–14
Supercopa de España: 2001, 2003, 2008, 2012
UEFA Champions League: 1999–2000, 2001–02, 2013–14
UEFA Super Cup: 2002, 2014
FIFA Club World Cup: 2014
Intercontinental Cup: 2002
6. Carles Puyol- Barcelona
Watu wengi walidai kuwa hakuna mtu anayeweza kufaulu kama beki akiwa na urefu chini ya mita 1.85. Lakini Puyol alithibitisha kuwa ni uongo. Aliyekuwa nahodha wa Barcelona alikuwa na urefu wa mita 1.78 ukilinganisha na Pique mwenye urefu wa mita wa 1.92. Ujuzi wake kwa uongozi ulikuwa muhimu sana kwa klabu na taifa.
Mataji Puyol aliyoshinda katika Barcelona.
La Liga: 2004–05, 2005–06, 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2012–13
Copa del Rey: 2008–09, 2011–12
Supercopa de España: 2005, 2006, 2009, 2010, 2011, 2013
UEFA Champions League: 2005–06, 2008–09, 2010–11
UEFA Super Cup: 2009, 2011
FIFA Club World Cup: 2009, 2011
5. Patrick Vieira- Arsenal
Arsenal iliweza kubadilisha kila mchezaji aliyekuwa katika timu yao kabambe iliyoshinda vikombe, lakini kuna elementi moja ambayo hawajafanikiwa kuona mchezaji wa kuchukua nafasi yake, huyo ni Patrick Vieira.
Maumbile yake ya kimwili na umahiri wa kuongoza utadumu miaka na kukumbukwa na wapenzi wa Arsenal. Alikuwa nahodha staajabu.
Mataji aliyotwaa Vieira katika Arsenal
Premier League (3): 1997–98, 2001–02, 2003–04
FA Cup (4): 1997–98, 2001–02, 2002–03, 2004–05
FA Community Shield (4): 1998, 1999, 2002, 2004
4. Roy Keane- Manchester United.
Aliyekuwa meneja wa Manchester United Sir Alex Ferguson hakuwa na kazi nyingi ya kufanya wakati nahodha Roy Keane alipokuwa katika timu. Kiungo huyu alikuwa kiongozi uwanjani na hata nje ya uwanja. Alihakikisha kuwa kila yeyote amefanya kazi yake na ameifanya vizuri. Atakumbukwa kwa miaka itakayokuja.
Mataji ya Keane katika Manchester United
Premier League (7): 1993–94, 1995–96, 1996–97, 1998–99, 1999–2000, 2000–01, 2002–03
FA Community Shield (4): 1993, 1996, 1997, 2003
FA Cup (4): 1993–94, 1995–96, 1998–99, 2003–04
UEFA Champions League (1): 1998–99
Intercontinental Cup (1): 1999
Bayern Munich ilikuwa na wachezaji viungo kabambe wanaoweza kubadilisha mambo katika uwanja. Lakini siamini kuwa kuna atakayeweza kufuata nyayo za nahodha staajabu Philip Lahm. Ni nahodha wa bora kwa wenzake wa klabu na taifa.
Mataji ya Lahm katika Bayern Munich
Bundesliga: 2002–03, 2005–06, 200–08, 2009–10, 2012–13, 2013–14, 2014–15
DFB-Pokal: 2002–03, 2005–06, 2007–08, 2009–10, 2012–13, 2013–14
DFL-Ligapokal: 2007
DFL-Supercup: 2010, 2012
UEFA Champions League: 2012–13; Runner-up: 2009–10, 2011–12
UEFA Super Cup: 2013
FIFA Club World Cup: 2013
Timu ya taifa
FIFA World Cup: 2014; Third Place: 2006, 2010
UEFA European Under-19 Football Championship Runner-up: 2002
UEFA European Football Championship Runner-up: 2008
2. Franco Baresi-AC Milan
AC Milan inajulikana vizuri kwa wachezaji wa kiwango cha dunia lakini pia manahodha wanaoshinda matuzo. Franco Baresi ni mmoja wa hao. Ni mmoja wa manahodha walioongoza klabu muda mrefu kwa Milan.
Mataji yake katika AC Milan
Intercontinental Cup (football): 1989, 1990
European Cup/Champions League (3): 1988–89, 1989–90, 1993–94
UEFA Super Cup (3): 1989, 1990, 1994
Serie A (6): 1978–79, 1987–88, 1991–92, 1992–93, 1993–94, 1995–96
Supercoppa Italiana (4): 1988, 1992, 1993, 1994
1. Paolo Maldini-AC Milan
AC Milan yaweza kutopata tena mhudumu kiunahodha kama Paolo Maldini. Yawezekana kuwa hawajawahi kupata beki mwingine kama yeye.
Mataji ya Maldini katika AC Milan
Serie A (7): 1987–88, 1991–92, 1992–93, 1993–94, 1995–96, 1998–99, 2003–04
Coppa Italia (1): 2002–03
Supercoppa Italiana (5): 1988, 1992, 1993, 1994, 2004
European Cup/Champions League (5): 1988–89, 1989–90, 1993–94, 2002–03, 2006–07
UEFA Super Cup (5): 1989, 1990, 1994, 2003, 2007
Intercontinental Cup (2): 1989, 1990
FIFA Club World Cup (1): 2007
No comments