Recent Posts

Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 22

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea tena leo October 22 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja vinne,  JKT Ruvuwalikuwa wenyeji wa  Mtibwa Sugar yaMorogoro katika uwanja wa Karumewakati Ndanda FC walikuwa wenyeji waAzam FC katika uwanja wa Nangwanda.

Mwadui FC ya Shinyanga inayofundishwa na Jamhuri Kiwelu ilikuwa mwenyeji waMgambo Shooting ya Tanga katika uwanja wa Mwadui wakati Mbeya Cityilikuwa mwenyeji wa African Sports yaTanga katika uwanja wa Sokoine Mbeya.

Matokeo ya mechi za leo October 22

No comments