Recent Posts

Klabu ya stand united waitisha kikao cha dharura sababu hii hapa

Kikosi cha Stand United

 Klabu ya Stand United imeandika barua ya kuitisha mkutano mkuu wa dharura utakaofanyika Octoba 30, 2015 wenye lengo la kupitisha katiba mpya ya klabu hiyo.

Barua hiyo imeandikwa kwa katibu mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania kuomba kupewa mwakilishi toka TFF kwa ajili ya kushuhudia zoezi hilo muhimu.

Hii hapa ni barua ya mwenyekiti wa klabu ya Stand United kwenda kwa katibu mkuu wa TFF.

No comments