Recent Posts

Kikosi kinachoanza leo cha Yanga


Yanga leo inashuka dimbani kukipiga na Toto African, na Goal inakuleta Kikosi kitachoanza cha Timu hiyo kama kilivowekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twiter wa Klabu hio.

Golikipa
Ally Mustapha 'Bathez'

Walinzi

Juma Abduli, Haji Mwinyi, Kelvin,Bossou

Viungo na Washambuliaji

Kamusoko,Busungu, Haruna, Ngoma, Tambwe, Geofrey

No comments