Recent Posts

HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA YA TANZANIA, UINGEREZA NA HISPANIA MECHI ZA OCTOBER 03 NA 04


Najua  ungependa kufahamu ratiba ya mechi za Ligi Kuu mbalimbali ambazo
zitachezwa siku ya Jumamosi ya October 3 na Jumapili ya October 4. Naomba nikusogezee karibu yako ratiba ya mechi za Ligi KuuTanzania bara, Uingereza na Hispania, hii ni ratiba ya mechi za Ligi hizo zitakazochezwa  Jumamosi na Jumapili.
Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara weekend hii ila zilizoandikwa kwa wino wa rangi nyekundu zimehairishwa
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu UingerezaOctober 3
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu UingerezaOctober 3 kwa saa za Afrika Mashariki
Crystal Palace Vs West Brom saa 14:45Aston Villa Vs Stoke saa 17:00Bournemouth Vs Watford saa 17:00Man City Vs Newcastle saa 17:00Norwich Vs Leicester saa 17:00Sunderland Vs West Ham saa 17:00Chelsea Vs Southampton saa 19:30
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4 kwa saa za Afrika Mashariki
Everton Vs Liverpool saa 15:30Arsenal Vs Man Utd saa 18:00Swansea Vs Tottenham saa 18:00
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Hispania ya mechi za Jumamosi ya October 3
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Hispania ya mechi za Jumamosi ya October 3 Saa za Afrika Mashariki
Sevilla Vs Barcelona saa 17:00Granada CF Vs Deportivo de La Coruña Saa 19:15Espanyol Vs Sporting de Gijón Saa 21:30Las Palmas Vs Eibar Saa 23:00Málaga Vs Real Sociedad Saa 23:05
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4 kwa saa za Afrika Mashariki
Rayo Vallecano Vs Real Betis 13:00Ath Bilbao Vs Valencia 17:00Levante Vs Villarreal Saa 19:15Atl Madrid Vs Real Madrid Saa 21:30

No comments