Recent Posts

Cristian Ronaldo achukua kiatu cha dhahabu mara ya nne barani Ulaya +pichaz


Cristian Ronaldo amefunga magoli 48 na kushinda kiatu cha dhahabu kwa mara ya nne barani Ulaya. Ronaldo amemshinda mpinzani wake mkubwa Lionel Messi mwenye magoli 43 na Sergio Aguero mwenye magoli 26. 
Ronaldo alikuwa akitazamwa na Rafa Benetez pamoja na familia yake na mtoto wake Cristiano Junior ambae ameonekana kwenye trela ya filamu yake mpya wakati akichukua tuzo hiyo.
Cristian Ronaldo amepokea tuzo yake ya nne ya kiatu cha dhahabu Jumanne kwa kuongoza kwa idadi kubwa ya magoli kwenye ligi zote barani Ulaya.
Nyota huyo mreno alifunga magoli 48 kwenye mechi 35 alizocheza ligi ya hispania. Tuzo nyingine alichukua akiwa manchester united 2007- 2008. Wakati hakuna mchezaji mwingine aliyewahi kushinda tuzo hii mara nne.
Ronaldo mwenye miaka 30 amekuwa mfungaji bora wa muda wote sept 30 akiwa na magoli 324 kwa kumpiku Raul Gonzalez's.


REKODI ZILIZOPITA

2007 Francesco Totti (Roma)                  26
2008 Cristiano Ronaldo (Man United)      31
2009 Diego Forlan (Atletico Madrid)        32 
2010 Lionel Messi (Barcelona)                 34
2011 Cristiano Ronaldo (Real Madrid)     40 
2012 Lionel Messi (Barcelona)                 50
2013 Lionel Messi (Barcelona)                 46 
2014 Cristiano Ronaldo (Real Madrid)/Luis                Suarez (Liverpool)                           31
2015 Cristiano Ronaldo (Real Madrid)      48








 Perez (2nd left) poses with Ronaldo (centre) and club officials in front of his four Golden Boot awards












No comments