Recent Posts

BAYERN Vs ARSENAL : HABARI MBAYA LAKINI FAIDA KWA ARSENAL


dfghfghf
Siku chache zilizopita Arsenal Wenger alisema kwamba kama wanataka kuifunga Bayern Munich basi lazima wacheze mpira wa kasi kama walivyofanya dhidi ya Manchester united.
Sasa kila timu inahitajika kuwa fit kwa ajili ya mchezo huo. Sasa kwa upande wa Bayern wana habari mbaya kuhusu mchezaji wao tegemezi Mario Gotze. Mchezaji huyu mwenye miaka 23 amepata jeraha akiwa kwenye mechi ya timu ya taifa imaeripotiwa kwamba atakaa nje kwa wiki 10 hadi 12.
Hii maana yake ni kwamba Gotze atakosa mechi dhidi ya Arsenal kwenye uwanja wa wao na ndani ya Emirates. One man down lakini pia another danger man Robben anafanya mazoezi kwa bidii ili arudi kwenye form ya mchezo tena.
2D35D89C00000578-0-image-a-45_1444431771391

No comments