Recent Posts

AGUERO AFUNGA MAGOLI MATANO NA KUINGIA KWENYE REKODI NA KUUNGANA NA HAWA MAGWIJI






View image on Twitter

Sergio Aguero amefunga magoli matano 

Ndani ya dakika 20 Sergio Aguero amefunga magopi matano na kuingia kwenye kitabu cha rekodi kwenye
mechi ya Man city dhidi ya Newcastle iliyochezwa leo jumamosi.
Aguero amefunga magoli dakika kwenye dakika ya 42, 49, 50, 60 na 62 kabla ya kufanyiwa mabadiliko dakika ya 66.
Aguero ameungana na Andy Cole, Alan Shearer, Jerman Defoe na Dimitar Berbatov kwenye rekodi hiyo.
Segio Aguero akishangilia hat-trick dhidi ya Newcastle
Cole alivunja rekodi mwaka 1995 man u iliposhinda 9-0 dhidi ya ipswich, Alan Shearer alifunga goli 5 kwenye mechi ya newcastle 8-0 dhidi ya sheffield 1999 wakati Defoe alifunga goli 5 Totenham iliposhinda 9-1 dhidi ya wigan 2009 na Berbatov nae alifunga goli 5  manchester united iliposhinda 7-1 dhidi ya blackburn.

No comments