Recent Posts

MASHABIKI WA ARSENAL WAMKATAA REFA WA MECHI DHIDI YAO NA MANCHESTER UNITED SABABU HII HAPA

Huyu jamaa anaitwa Anthony Taylor ndiye amepewa jukumu la kuwa refa wa mechi kati ya MAnchester
united Vs Arsenal. Katika mechi tano zilizopita za Arsenal amewai kuwatoa nje wachezaji 3 wa Arsenal kwa red card. Hadi hapo mashabiki washaanza kumtilia mashaka.
Ndani ya miaka 5 tangu aanze kuwa active kwenye ligi ya Uiengereza ameshatoa kadi nyekundu mara 22 na kadi za njano mara 379 kwenye mechi 112. FIFA na FA zinamtambua tangu mwaka 2010.
Sasa baada ya kutangazwa tu kwamba refa huyu ndie atakua refa wa Arsenal Vs manchester united imeanza kuwakumbusha machungu mashabiki wa Arsenal na hizi ni baadhi ya tweet zao.

No comments