Recent Posts

Manchester United kumsajili Raphael Varane kutoka Real Madrid


Manchester United wameonyesha nia ya kumsajili mlinzi wa Real Madrid Raphael Varane baada ya mwenye umri wa miaka 23 kuonyesha kwamba anataka kupanga mustakabali wake ipasavyo, kwa mujibu wa Marca kupitia talksport.

Mfaransa wa kimataifa, ambaye aliweza kucheza mechi 33 katika mashindano yote kwa vigogo wa Hispania msimu uliopita, alikuwa amesajiliwa na Jose Mourinho kutoka klabu ya Ufaransa Lens katika wakati wake akiwa Real Madrid na anataka kujiunga tena na beki huyu mahiri katika Old Trafford

No comments