Recent Posts

Wayne Rooney kupewa kiatu cha dhahabu leo

Nahodha wa Uingereza Wayne Rooney atakosa mechi dhidi ya Estonia siku ya Ijumaa
Nahodha wa Uingereza Wayne Rooney atakosa mechi dhidi ya Estonia siku ya Ijumaa
Mshambuliaji wa Uingereza atakabidhiwa kiatu cha dhahabu siku ya Ijumaa jioni.

Wayne Rooney atapewa tuzo ya kiatu cha dhahabu kutokana na rekodi yakle ya magoli 50 Uingereza
Wayne Rooney atapewa tuzo ya kiatu cha dhahabu kutokana na rekodi yakle ya magoli 50 Uingereza
Nahodha huyo wa Uingereza ameandaliwa tuzo hiyo japo atakosa mechi ya kufudhu dhidi ya Estonia.
Sir Bobby Charlton ataiwasilisha tuzo hiyo kwa Wayne Rooney
Sir Bobby Charlton ataiwasilisha tuzo hiyo kwa Wayne Rooney
Sir Bobby Chalton, ambaye rekodi yake ilivunjwa na Rooney, ataiwasilisha tuzo hiyo.
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson akimuonyesha Rooney jezi ya magoli 50
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson akimuonyesha Rooney jezi ya magoli 50
Tuzo hiyo ni kutokana na rekodi yake ya kufunga magoli 50 katika timu ya taifa Uingereza.
Rooney akizungumza na wenzake kwenye chumba cha kubadilishia nguo
Rooney akizungumza na wenzake kwenye chumba cha kubadilishia nguo
Ujumbe kwenye kiatu hiko unasomeka kama: “’This boot was presented by Sir Bobby Charlton at Wembley Stadium on 9 October 2015 to mark Wayne Rooney becoming England’s all-time leading goal-scorer.
Rooney akifunga goli lililompa rekodi mpya
Rooney akifunga goli lililompa rekodi mpya
“Hongera Wayne Rooney kutoka Chama cha soka FA na tunashukuru kwa kila kitu ulichokifanya kwa ajili ya timu na taifa.”

No comments