Recent Posts

Video: Mtoto atishia kumkata kichwa Rais Obama



Mtoto jihadi mwenye silaha yenye bomu la guruneti ametishia kumkata kicha “Dog of Rome Obama” katika video iliyotolewa na ISIS.
Mtoto huyu ametishia kumkata kichwa rais Barack Obama
Mtoto huyu ametishia kumkata kichwa rais Barack Obama
Mtoto huyo, mwenye umri wa miaka 10, anamwambia Rais wa Marekani Barack Obama anaota kama wanajeshi wa Marekani wataingia katika eneo la kigaidi wanalolishikilia
.
Rais Barack Obama
Rais Barack Obama
Akiwa amenyoosha kidole kimoja angani – ishara inayowatambulisha ISIS – anaonya “Amkeni kutoka usingizini na mlipe kodi ya dini na kumtumikia Mungu kabla jambia la Khalifah (Dola la Kiislam) halijakufikia na kukata kichwa chako.

No comments