Recent Posts

Messi afutiwa mashtaka, baba yake ang’ang’aniwa



Lionel Messi
Lionel Messi
Waendesha mashtaka nchini Hispania wamefuta mashtaka ya kodi dhidi ya nyota wa Argentina na Barcelona
Lionel Messi lakini wataendelea na kesi dhidi ya baba yake.

Kama atashtakiwa, Jorge Messi atakabiliwa na kifungo cha miezi 18 gerezani na faini ya pauni milioni 2.
Baba yake Lionel Messi, Jorge Messi (katikati)
Baba yake Lionel Messi, Jorge Messi (katikati)
Messi na baba yake walishtakiwa kwa kosa la kukwepa kodi ya zaidi ya pauni milioni 4 kwa uongozi wa Hispania.

No comments