Recent Posts

Magazeti ya nchini Uingereza leo Octoba 18 kwenye habari za michezo yameandika haya

THE STAR ON SUNDAY

Star on sunday limeandika haya;

David Moyes atakuwa yupo tayari kuondoka Real Sociedad na kuelekea  kuwa kocha wa Aston Villa kama nafasi hiyo itakuwepo.

Louis van Gaal amemwambia Mephis Depay anatakiwa kwenda sawa na ywye anavyotaka au atapatwa na matatizo yaliyowakuta Angel Di Maria na Radamel Falcao wakiwa Manchester united.

West Ham wanamfuatilia mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast Gohi Bi Zoro Cyriac anachezea klabu ya Ubelgiji Oostende.


People limeandika haya;

Brendan Rodgers amekiammbia chombo cha habari cha pals kuwa hayupo tayari kuwa kocha wa Aston Villa.

Meneja Newcastle united Steve McClaren anahitaji huduma ya Victor Valdes ambaye anaonekana hayupo vizuri man utd aweza kutatua tatizo lake la kipa.

Mirror limeandikwa haya;

Bayern Munich wamemtaja Carlo Ancelot kama mrithi wa Pepe Gurdiola  wakiwa na waswasi Pepe Gurdiola ataondoka kuelekea Man City msimu wa kiangazi.

Man city kuongeza siti 6000 zaidi uwanja wa Etihad uwe na uwezo wa kuchukua watu 61000

Jurgen Klop ameiambia Liverpool kuachana na usajili mchezaji wa Barcelona Martin Montoya, kama alivyokuwa amepanga Brendan Rodgers.

David Ospina atafikiria kuhusu uwepo wake Arsenal badae kama hatopangwa kwenye kikosi cha klabu bingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich wiki hii.

The mail limeandikwa haya;

Mtoto wa David Beckham anatarajiwa kumfwata kaka yake na kuondoka academy ya Arsenal.

SUN ON SUNDAY

Sun limeandikwa haya;

Manuel Pellegrin amemwambia mshambuliaji wa Manchester city Sergio Aguero kucheza kwa umakini.

SOURCE;SKY SPORT

No comments