Recent Posts

Huyu hapa mrithi wa Pepe Guardiola Bayern Munchen

Bayern Munchen wanamtazama Carlo Ancelotti kama mrithi wa Pep Guardiola kama akiondoka.

Ancelotti ameshafundisha klabu kubwa duniani zikiwamo real madrid na Ac milan na sasa anategemea kuifundisha Bayern.

Mkataba wa Guardiola unaisha mda mwisho wa msimu huu na anahusishwa na kwenda kuifundisha Manchester city kama hata saini mkataba mwingine Allianz Arena.
Kulimgana na gazeti la La Gazzetta Dello Sport, mazungumzo kati ya Ancelloti na Bayern munchen tayari yameshaanza japokuwa bado wanamuhitaji Guardiola.

Bayern wamempa mda Gurdiola mpaka mwezi wa kwanza kutoa msimamo wake kuhusu kubaki klabuni hapo.

No comments