Recent Posts

HAYA HAPA MATOKEO YA LIGI KUU BARA TANZANIA ZILIZOCHEZWA LEO VIWANJA TOFAUTI

Mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara zimeendelea leo kwenye viwanja
vitatu huku timu 6 zikipambana viwanjani kuwania pointi tatu muhimu kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi hiyo msimu huu.
Matokeo ya mechi za leo
Toto Africa 1-0 Jkt Ruvu
Stand united 1-0 Mbeya city
Kagera sugar 0-3 Prison

No comments