Recent Posts

Breaking news:Kocha wa Toto African ya mwanza ajiuzulu


Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba kocha wa Toto Africa amejiuzulu. Hii hapa ni barua rasmi ya kujiuzulu kwake. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa na kupitia Sports Xtra.

Source:shafiidauda.com

No comments