Recent Posts

WEWE KAMA SHABIKI WA MAN UNITED UPO TAYARI KWA HILI?

Ukizungumzia brand Manchester united hauzungumzii timu na uwanja tu. Timu inatumika ku-influence mashabiki kuwa na upenzi wa bidhaa mbalimbali ambazo zinatoka kwa chapa ya Manchester United.

Kitu kipya kutoka kwenye chapa ya Manchester united ni Sneakers ambazo zinatengenezwa na wadau wao Adidas. Sneaker hizi ili kuongeza utamu wake sokoni, zitatengenezwa kwa idadi maalum na baada ya kuisha hazitatengenezwa tena kwa maana ya Limited Edition. Style hii inachangia kuwapa mzuka au hamu ya mashabiki kumili kiatu hiki.

Adidas streetford vitakuwa na leno ya Red Devil kwa nyuma ambayo ni sehemu ya logo ya Manchester united. Je, tutavaa original au tusubili chapa ya mchina??.

No comments