Recent Posts

Roma kuachia wimbo mpya October 25


Msanii wa bongo faleva Roma amesema atatoa wimbo Mpya asubuhi na mapema mnamo tarehe 25 mwezi huu October,Roma aliandika kupitia ukurasa wake wa Instagram.
romaaa
New Song……Loading!!!!!! Nitai#Release Asubuhi saaaana!!! Siku Ya Tarehe #25thOCTOBER Ee Mungu Nisimamie!!!! #ViVaROMAViVa #ViVaROMAViVa #ZABURI -Ee Bwana, umenichunguza na kunijua. -Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu; Umelifahamu wazo langu tokea mbali. -Maana hamna neno ulimini mwangu Usilolijua kabisa, Bwana!!!!!!

No comments