Recent Posts

PICHA KWENYE BIRTHDAY YA DIAMOND PLATNUMZ ILIOFANYIKA NYUMBANI KWAKE DAR ES SALAAM

September 21 2015 story kwenye headlines ilikuwa party ya mtoto Tiffah, mtoto wa Diamond Platnu
mz na mpenzi wake Zarina Hassan aka Zari the Boss Lady.. party nyingine ilikuwa jana hapohapo nyumbani kwa Diamond, nimezipata pichaz na nimeona nizisogeze hapa na wewe usipitwe na hii !!
Diamond pamoja na ndugu zake na baadhi ya washkaji zake wa karibu walikutana kwa ajili ya sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Diamond Platnumzmwenyewe.
Diamond Platnumz na Producer Tudd Thomas wakicheki kitu kwenye simu.
.
Designer wa Diamond Platnumz, anaitwaQ Boy Msafi na mtu wake pembeni !!
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Producer Tudd ThomasTID na Alawi Junior
Hapo ni Diamond Platnumz na Manager wake Babu Tale, time ya kupata msosi.
.
Kwenye pozi la pamoja, Raymond wa Tip TopDiamond na Q Boy.
Diamond na Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Kwenye list ya walioalikwa, alikuwepo piaAY
Birthday boy hakwepi kuogeshwa..!!
Happy birthday Harmonize, yeye anasherehekea siku ya kuzaliwa October 03.. kwa sababu party ilikuwa usiku, tarehe 03 ikamkutia hapohapo.. akinaQueen Darleen wakamalizana nae!!
Mzuka ukampanda Mnyama TID baada ya ngoma yake kupigwa, ikafatia show ya nguvu kwenye meza ya kaunta !!
.
Keki ya birthday ikaanza kuliwa humohumo kwenye swiming pool.
Diamond na watu wake, pembeni niQueen Darleen na Mwigizaji Rose Ndauka

No comments