Recent Posts

JURGEN KLOPP ASAINI MIAKA MITATU LIVERPOOL

Jurgen Klopp
Jurgen Klopp anatarajiwa Merseyside siku ya Alhamisi mchana kukamilisha
uteuzi wake kama kocha mpya wa Liverpool.
Kocha wa zamani wa Borussia Dortmund amekuwa akihusishwa na mazungumzo na viongozi wa juu wa Liverpool, huku majadiliano hayo yakidaiwa.
Klopp amekubali mkataba wa miaka mitatu na atakuwa akilipwa mshahara wa pauni milioni 4 kwa msimu.
Mjerumani huyo atasafiri hadi Merseyside kwa ndege binafsi kukamilisha utaratibu huo utakaotangazwa Alhamisi mchana

No comments