Recent Posts

TOP 10 YA WAREMBO WA MASTAA WA LIGI KUU SOKA UINGEREZA 2015


Hii ni Top 10 ya warembo wa mastaa wa Ligi Kuu soka Uingereza 2015
Tumezoea kuona mastaa kadhaa wa soka kuingia katika headlines na wapenzi wao, wakiwa wametoka out katika sehemu mbalimbali za starehe baada ya kazi nzuri walioifanya uwanjani. Stori kutoka talksport.com waliwahi kutoa May 2015 list ya Top 10 ya warembo wa mastaa wa soka wa Ligi Kuu Uingereza.
10- Edurne Garcia huyu ni mpenzi wa golikipa wa klabu ya Manchester UnitedDavid de Gea.




9- Lorena Bernal huyu ni mke wa kiungo wa Arsenal Mikel Arteta
8- Anara Atanes huyu ni mpenzi wa kiungo wa klabu ya Manchester CitySamir Nasri
7- Helen Flanagan mpenzi wa staa wa soka wa klabu ya Aston Villa Scott Sinclair
6- Coleen Rooney mke wa mshambuliaji na nahodha wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney
5-  Sam Cooke mpenzi wa beki wa kati wa klabu ya Manchester United Chris Smalling
4- Georgina Dorsett mpenzi wa kiungo wa zamani wa timu ya Manchester United naEverton Tom Cleverley
3- Ludivine mrembo wa beki wa zamani wa klabu ya Arsenal na Manchester City Bacary Sagna
2- Abbey Clancy mrembo wa mshambuliaji wa kimataifa wa Uingerezana klabu ya Stoke City Peter Crouch
1- Misse Beqiri mrembo wa golikipa wa zamani wa Man United ambaye ametimkia West Bromwich Albion msimu huu Anders Lindegaard.

No comments