Recent Posts

VIDEO YA SAUTI SOL YA SHAKE YO BAMBAM HII HAPA

Sauti Sol ni kundi la muziki kutokea Kenya ambalo limezichukua headlines
nzito Tanzania na mara ya mwisho ilikua ni kupitia hit single ya sura yako lakini time hii wametuletea video ambayo bado ni mpyampya ilitoka Aug 19 2015 na imetengenezwa Nairobi na Director Mnigeria Clarence Peters.

Hii ni single yao ya tano kutoka kwenye album yao itayotoka mwaka huuhuu wa 2015 inaitwa Live and Die in Afrika.VI

No comments