Recent Posts

VIDEO YA NYIMBO MPYA YA NELLY HII HAPA

Akiwa bado yupo kwenye mchakato wa kukamilisha album yake ya nane, Nelly ameamua asituache tu hivihivi ameamua aisogze kwetu ngoma yake mpya wakati tukiwa tunasubiri mzigo wa album yake mpya ufike sokoni.
nelly2
Wimbo unaitwa ‘The Fix’ na kizuri kuhusu wimbo huu ni kwamba
ukiusikiliza utagundua kuwa hawa jamaa wametumia sample za hit songs za miaka ya nyuma haswa kwenye chorus ya wimbo huu ambao wenyewe umetumia idea ama sample ya wimbo wa Marvin Gaye, Sexual Healing.
Video yake ninayo hapa tayari… kama bado hujafanikiwa kukutana nao basi karibu uitazame hapa.


No comments