
Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe akimtoka beki wa Simba Hassan Isihaka

Donald Ngoma wa Yanga (kulia) akikimbia na mpira kumuacha beki wa Simba Hassan Isihaka

Manahodha wa timu zote mbili Mussa Mgosi na Nadir Haroub wakiwa kwenye picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo wao

Kikosi cha Simba kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya Yanga

Kikosi cha Yanga kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya Simba

Mwinyi Haji wa Yanga (kulia) akimdhibiti Hassan Kessy wa Simba

Hassan Isihaka wa Simba akijaribu kuzuia mpira usitoke nje ya uwanja mbele ya Donald Ngoma wa Yanga

Mussa Mgosi (kulia) na Mbuyu Twite (kushoto) wakitunishiana misuli kuwania mpira

Makocha wa Simba na Yanga Dylan Kerr na Charles Boniface Mkwasa wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo wa Simba na Yanga

Wachezaji wa akiba wa Yanga kutoka kushoto: Juma Abdul, Deus Kaseke na Andrey Coutinho

Kocha mkuu wa Simba Dylan Kerr (kushoto) akiwa na msaidizi wake Seleman Matola

Makocha
wa kikosi cha Yanga kutoka kushoto: Juma Pondamali kocha wa makipa,
Charles Boniface Mkwasa kocha msaidizi, Hans van der Pluijm kocha mkuu

Polisi wakimdhibiti shabiki wa Simba aliyekuwa anajaribu kufanya fujo baada ya mchezo kumalizika

Television ya uwanjani ikonesha matokeo ya mechi kati ya Simba na Yanga ikiwa ni dakika ya 46 kipindi cha pili

Golikipa wa Yanga Ally Mustafa ‘Barthez’ akishangilia goli la pili la Yanga lililofungwa na Malimi Busungu

Kocha
wa Simba Dylan Kerr (kushoto) na kocha wa Yanga Hans van der Pluijm
(kulia) wakibadilishana mawazo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wao
No comments