Recent Posts

PICHA ZA LUKE SHAW BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI

Picha za beki Luke Shaw wa Man United ambaye amevunjika mguu wake zimeonekana kwenye mtandao kwa mara ya kwanza baada ya kufanyiwa
upasuaji.

Shaw amepasuliwa baada ya kuvunjika mguu katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya walipokuwa wakicheza dhidi ya PSV ya Uholanzi.
Shaw ameonekana akiwa kwenye Hospitali ya St Anna nchini Uholanzi pamoja na waliojitokeza kwenda kumtembelea hospitali na mwenye furaha tu.

No comments