Recent Posts

MSIMAMO WA LIGI NCHINI ENGLAND

Raundi ya sita ya ligi nchini England maarufu kama EPL imemalizika jana Jumapili (jana) ambapo ilipigwa michezo mitatu. Manchester United wakiwa ugenini wakaibuka na ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Southampton, Tottenham wakapata ushindi wa nyumbani mbele ya Crystal Palace wakati Manchester City wakapata kipondo cha kwanza cha goli 2-1 kutoka kwa West Ham United wakiwa kwenye uwanja wao wa Etihad.

Baada ya michezo hiyo kumalizika, msimamo wa ligi hiyo unaonekana hivi; 

No comments