CARLO ANCELOT ANUKIA LIVERPOOL HALI MBAYA KWA BRENDAN RODGERS
Kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers amekalia kuti kavu kwa kuwa sasa taarifa zinasema uongozi wa klabu hiyo
umewasiliana na kocha mkongwe, Carlo Ancelotti.
Uongozi huo umewasiliana na Ancelotti ikiwa ni sehemu ya kurekebisha mambo na kama Rodgers ataharibu tu, safari inamkuta.
Mambo yamekuwa hayaendi vizuri tokea kuanza kwa msimu huu na kama atapoteza mechi nyingine, bila shaka atalazimika kuongoza njia kwa kutupiwa virago ili kocha huyo wa zamani wa AC Milan, Real Madrid na Chelsea

No comments