Recent Posts

BERCELONA YATANDIKWA GOLI 4 KWA 1 NA CELTA VIGO


Celta Vigo imeitwanga Barcelona kwa mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu Hispania maarufu kama La Liga.
Nolito na Iago
Aspas walikuwa mashujaa baada ya kupachika mabao mawili mapema ana kuifanya timu yao kwenda mapumziko ikiwa inaongoza.
 
Pamoja na juhudi za dhati za Barcelona katika kipindi cha pili ikiwatumia Neymar, Messi na Suarez lakini bado mambo hayakuwa walivyotaka kabla ya Bilbao kuongeza bao la tatu.
Neymar aliifungia Barcelona bao ikionekana kama watapambana na kusawazisha lakini Celta Vigo wakaongeza bao la nne.
Beki Gerard Pique alionekana kuwa katika kiwango cha chini kwa kuchangia mabao mawili kutokana na kutokuwa makini.

No comments